Type Here to Get Search Results !

Simba Yamtambulisha kocha Mpya



 Klabu ya Simba imemtangaza kocha Robertinho Oliveira kuwa kocha Mkuu akichukua nafasi iliyoachwa na Zaran Maki

Tukio hilo limejiri leo katika Mkutano na Wanahabariuliofanyika leo Januari 3,2023.

Oliveira raia wa Brazil aliachana na Vipers Fc hivi karibuni baada ya kuiongoza kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uganda pamoja na kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Olieveira anaungana na Juma Mgunda ambaye alikuwa ni kocha wa muda kwenye benchi la ufundi la timu hiyo ambayo kwa sasa ipo Zanzibar kwenye Kombe la Mapinduzi 2023

Mgunda ataendelea kukiongoza kikosi cha Simba kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi

⚽ USIKOSE KUZITAZAMA LIVE LEO BUREE ⚽

👉 Simba vs Mlandege

👉 Arsenal vs Newcastle

👉 Man united vs Bournemouth

👉 Leister city vs Fulham

👉 Cacereno vs Real Madrid

Usikose kuzitazama Mechi zote hizi Live kupitia app yetu BUREE bofya link hii kuidownload app 👉👉BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP YETU BURE KUTOKA PLAY STORE ILI USIPITWE NA MECHI ZOTE HIZI BUREE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.