Type Here to Get Search Results !

Fei Toto aitwa Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya TFF


 Kiungo wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' ameitwa mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kwa ajili ya kusikilizwa shauri lililowasilishwa na klabu ya Yanga dhidi yake

Inafahamika tangu Disemba 23 2022 Feisal aliondoka kambini na tangu wakati huo hakurejea

Feisal ambaye inaelezwa yuko nje ya nchi, ametakiwa kuripoti mbele ya Kamati hiyo hiyo akiwa na Mwanasheria wake kwa ajili ya kusikilizwa kwa malalamiko ya mkataba dhidi yake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.