Type Here to Get Search Results !

Mudathir Yahya atua Jangwani


 Yanga imekamilisha usajili wa kiungo Mudathir Yahya

Mudathir anatua Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Azam Fc

Baada ya kusaini mkataba mchana wa leo Mudathir ameelekea Zanzibar kuungana na wenzake.

Mudathir anatua kuongeza nguvu katika eneo la kiungo la Yanga hasa wakati huu ambao Yanga wako kwenye mgogoro na Feisal Salum

Mudathir anamudu vyema kucheza nafasi zote za kiungo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.