Type Here to Get Search Results !

Yanga kutambulisha wachezaji wawili wapya Kwa mpigo

 

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema tayari wamekamilisha usajili wa wachezaji wawili ambao wanasubiri kutambulishwa

Kamwe amesema usajili huo umezingatia mahitaji ya benchi la ufundi, akiwataka mashabiki wa Yanga kuwa watulivu

Kamwe ametamba kuwa usajili huo utakwenda kutuliza fujo zote kutoka kwa watani zao

"Tumewaacha wafanye fujo zao kwanza tunawatazama tu, sisi hatusaji tu kwa sababu tumemkuta mchezaji yuko free"

"Nawaambia, hivi karibuni tutashusha mashine mbili mpya.Tuna jambo kubwa kweli kweli la usajili tutalifanya tutaitetemesha Nchi," alitamba Kamwe

Juzi Yanga iliwaweka sawa mashabiki wake tayari kwa utambulisho huo wa usajili

⚽ USIKOSE KUZITAZAMA LIVE LEO BUREE ⚽

👉 Simba vs Mlandege

👉 Arsenal vs Newcastle

👉 Man united vs Bournemouth

👉 Leister city vs Fulham

👉 Cacereno vs Real Madrid

Usikose kuzitazama Mechi zote hizi Live kupitia app yetu BUREE bofya link hii kuidownload app 👉👉BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP YETU BURE KUTOKA PLAY STORE ILI USIPITWE NA MECHI ZOTE HIZI BUREE

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.