Type Here to Get Search Results !

Aucho bado yupo sana Jangwani aongeza miwili


 Kiungo fundi Khalid Aucho maarufu 'Dokta' ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga

Hivi karibuni ziliibuka tetesi kuwa Aucho anaondoka, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amezima tetesi hizo

Uongozi wa Yanga unaendelea kuhuisha mikataba ya wachezaji wake ambao mikataba yao inaelekea ukingoni

Yanga imejipanga na inahakikisha hakuna mchezaji muhimu anaondoka

USIKOSE KUITAZAMA MECHI YA YANGA VS KMKM LIVE KUPITIA SIMU YAKO DOWNLOAD APP YETU KUITAZAMA MECHI HII BOFYA HAPA SASA KUPAKUA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.