Type Here to Get Search Results !

Ratiba ya Makundi Mapinduzi cup yapangwa, Yanga na Simba zaangukia kundi hili

Michuano ya kombe la Mapinduzi 2022/23 inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu ambapo makundi yamewekwa hadharani

Yanga imepangwa kundi B pamoja na timu za KMKM na Singida Big Stars

Kundi A lina Azam Fc, Malindi na Jamhuri wakati kundi C lina Simba, Mlandege na KVZ

Kundi D lina timu za Namungo Fc, Aigle Noir na Chipukizi

 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.