Type Here to Get Search Results !

Dirisha dogo la usajili tz bara kufunguliwa Ijumaa

 

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa usiku wa kuamkia Ijumaa, Disemba 16 2022 kwa timu za Ligi Kuu, Championship, daraja la kwanza na ligi ya Wanawake

Dirisha hilo litafungwa Januari 15 2023 ambapo klabu zitatakiwa kufanya usajili pamoja na kukamilisha uhamisho wa kimataifa ndani ya muda

Ni nafasi Kwa vilabu vyote kufanya maboresho muhimu ili kuhakikisha wanatimiza malengo yao 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.