Hatua ya Makundi ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika inatatajiwa kuanza kutimua vumbi February, huku Simba SC wakianzia ugenini nchini Guinea dhidi ya Horoya Athletic February 11, 2023.
Pia Hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika inatatajiwa kuanza kutimua vumbi February 12, 2023 na Wananchi Young Africans wakianzia ugenini nchini Tunisia dhidi ya US Monastir.
Kama kawaida yetu mechi zote zitakuwa Mubashara ( LIVE ) Kwenye app yetu hivyo tunakusihi kuipakua app yetu Sasa kutoka playstore.
BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP YETU KUTOKA PLAY STORE BURE ILI USIPITWE NA MECHI ZOTE LIVE