Mikiki mikiki ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ilianza jana ambapo mechi mbili zilipigwa
Katika kundi C ambalo Simba imepangwa, ulipigwa mchezo mmoja kati ya Raja Casablanca dhidi ya Vipers Fc
Raja wakaifumua Vipers mabao 5-0 katika mchezo uliopigwa huko Morocco
Leo Simba iko ugenini dhidi ya Horoya Ac katika mchezo ambao upo LIVE Muda huu unaweza kuitazama mechi hii kupitia app yetu