Type Here to Get Search Results !

Yanga yatambulisha Mchezaji Mpya

 

Ni rasmi sasa, Yanga imetambulisha usajili wa mshambuliaji Kennedy Musonda kutoka Zambia

Musonda ni kinara wa kupachika mabao katika ligi kuu ya Zambia msimu huu akifunga mabao 11 katika mechi 17 alizoitumikia Power Dynamos ambayo iko kileleni mwa msimamo wa ligi

Musonda sasa anatua kushirikiana na Fiston Mayele kwenye safu ya ushambuliaji katika kuhakikisha Yanga inatimiza malengo yake ya kutetea mataji yote pamoja na kufanya vizuri makundi ya kombe la Shirikisho

Musonda ni Mwananchi...!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.