Type Here to Get Search Results !

Feisal Salum Aitikia wito TFF..Mwanasheria Wake Afunguka haya

Mchezaji Feisal Salum ambaye leo asubuhi aliwasili kwenye Ofisi za TFF kwa ajili ya kusikiliza shauri lake la kimkataba dhidi ya Waajiri wake (Yanga SC), amemaliza kikao hicho cha kwanza na kuondoka.

Mwanasheria wa Feisal akiwa kwenye gari na Feisal kabla ya kuondoka kwenye Ofisi za TFF amewaambia Waandishi wa Habari kuwa bado hawajapata majibu wala hawajaona mwanga wowote kuhusu sakata hilo na kwamba hawezi kujua kama Feisal atarejea Yanga ama la na kusisitiza wanaojua hilo ni TFF.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.