Type Here to Get Search Results !

Taarifa za Chini Chini, Inadawa Wachezaji wa Simba Walipiga Kura CEO Barbara Aachie Ngazi

Taarifa za chini chini kutoka ndani ya klabu ya Simba, kupitia @farasiwavita via #SportsHQ juu ya sakata la kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez zinadai:-

✍️ Wachezaji wa Simba SC walipiga kura ya maoni na wengi walichagua CEO huyo aachie ngazi.

✍️ Inadaiwa Barbara aliondoa baadhi ya posho ndani ya klabu hiyo.

Mwanamama huyo anadaiwa kuongeza matumizi & shughuli binafsi.

✍️ Barbara alikuwa hataki wachezaji kumtembelea hata kwa shida binafsi.

✍️ Simba imepoteza wachezaji na makocha wazuri chini ya Afisa Mtendaji huyo kwa kwanza Mwanamke katika historia ya vilabu Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.